Tangu ufunguzi wa soko la Githurai Agosti mwaka wa 2023 na Rais William Ruto, wafanyabiashara Zaidi ya elfu moja walikusudiwa kuanza biashara zao ndani ya jengo hilo lililojengwa na serikali ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Hata hivyo jengo na soko hili limesalia mahame huku wafanyabishara wa Githurai kaunti ya Kiambu wakilalamikia huenda biashara zao zikazorota iwapo wataingia ndani ya soko hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya