Skip to main content
Skip to main content

Soko la Pamoja Kakuma lawakutanisha wakimbizi na wateja

  • | Citizen TV
    212 views
    Duration: 3:38
    Shirika linalojihusisha na masuala ya kusaidia wakimbizi wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma na Kalobeyei, limeandaa soko la pamoja na la aina yake mjini Kakuma, katika hafla inayolenga kukutanisha wateja na wauzaji. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, hafla hii inalenga kuhakikisha kuwa wakimbizi wa Kakuma na Kalobeyei wanapata uzoezfu wa kuanzisha biashara mbali na kutegemea kupewa msaada kutoka shirika la UNHCR.