7,906 views
Duration: 38s
Mtoto wa sokwe aliyezuiliwa mwaka jana katika uwanja wa ndege wa Istanbul nchini Uturuki wakati walanguzi walipojaribu kumsafirisha kutoka Nigeria kwenda Istanbul, huenda akarejeshwa nyumbani kwao hivi karibuni.
-
Sokwe huyo anayeitwa Zeytin amekuwa akitunzwa katika Bustani ya Wanyama ya Polonezkoy, ameongezeka uzito na urefu tangu alipopatikana mwezi Desemba.
#bbcswahili #uturuki #istanbul
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw