- 892 viewsDuration: 1:04Timu za St. Joseph Starlets kutoka Murang’a na Laikipia Youth Soccer Academy (LYSA) zimetawazwa mabingwa wa toleo la tano la mashindano ya Safaricom Chapa Dimba Kanda ya Kati baada ya kushinda fainali zilizochezwa Jumapili jioni.