Skip to main content
Skip to main content

Starlets U17 yafanya mazoezi ya kwanza Pretoria

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 2:05
    Timu ya taifa ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 imefanya mazoezi yake ya kwanza jijini Pretoria, Afrika Kusini, kuelekea mechi dhidi ya wenyeji hao. Mchezo huo ni wa mkondo wa mwisho wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA litakaloandaliwa nchini Morocco baadaye mwaka huu. Kocha Mildred Cheche amesema ana imani kikosi chake kina uwezo wa kuibuka na ushindi.