Skip to main content
Skip to main content

Starlets wa Kenya kucheza kirafiki na Benin usiku huu Abidjan

  • | Citizen TV
    248 views
    Duration: 1:29
    Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake Harambee starlets imekamilisha maandalizi ya mechi mbili za kirafiki mjini abidjan ivory coast. Nyota hao watamenyana na benin usiku wa leo kuanzia saa mbili katika mechi ya kwanza ya kirafiki kabla ya kukutana na wenyeji ivory coast siku ya jumatano.