Skip to main content
Skip to main content

SUPKEM yakemea vurugu za kisiasa, yaunga mkono Ruwaza 2060

  • | Citizen TV
    756 views
    Duration: 1:22
    Baraza Kuu la Waislamu Nchini SUPKEM limekemea matukio ya kisiasa na vurugu zinashuhudiwa, likiwaonya wanasiasa dhidi ya kulisambaratisha taifa. Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kitaifa Al-Hajj Hassan Ole Naado, baraza hilo limeunga mkono Ruwaza ya Rais William Ruto ya mwaka 2060, likitaka wanasiasa kusita kuingiza siasa katika mchakato huo. Walisema haya katika kikao na wanahabari mjini Mombasa.