Skip to main content
Skip to main content

Taasisi ya Climate 360 yazindua ufadhili wa masomo kwa vijana.

  • | Citizen TV
    122 views
    Duration: 2:06
    Taasisi ya mabadiliko ya hali ya hewa 360 leo imeandaa hafla ya kukuza vipaji ambapo mkurugenzi mkuu Daniel Irungu alizindua mpango wa ufadhili wa masomo na uwezeshaji wa vipaji ambao unatoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi waliokamilisha elimu yao ya kidato cha nne lakini hawakuweza kuendelea na masomo ya juu kwa sababu ya changamoto za kifedha.