Skip to main content
Skip to main content

Taasisi ya Katiba Institute yashinikiza kusitishwa kwa ujenzi wa kituo cha ebola inchini

  • | Citizen TV
    2,563 views
    Duration: 2:54
    Chama cha mawakili nchini - LSK na Taasisi ya Katiba Institute zawasilisha kesi mahakamani kushinikiza kusitishwa kwa ujenzi wa kituo cha kuwatenga wagonjwa wa Ebola nchini. Kwa mujibu wa rais wa LSK Charles Kanjama, serikali imekiuka katiba kwa kuendeleza mpango huu bila kuwahusisha wananchi, kando na kukiuka sheria za usalama wa kiafya na kimazingira wa raia wake. Kesi hizo zinajiri huku chama cha madaktari nchini - KMPDU- kikitoa ilani ya saa 48 kwa serikali kuwaeleza wakenya kuhusu kituo hicho.