Skip to main content
Skip to main content

Taasisi za kidini zimezindua kituo cha afya ya familia Nairobi

  • | Citizen TV
    114 views
    Duration: 1:18
    Taasisi za kidini zimezindua kituo cha kushughulikia masuala ya afya ya jamii likiwemo janga la mimba za utotoni hapa Nairobi. Utafiti mpya wa shirika la Faith To Action Network umebaini msichana mmoja katika ya watano ameathirika nchini. Kadhalika, mila na ukimya katika kaunti za Kilifi na Migori ndizo zinazochochea janga hili. Kituo hicho kitasaidia kuvunja ukimya na kuimarisha sera za afya ya familia ili kukomesha ndoa za mapema na kulinda mustakabali wa wasichana katika kaunti hizo na nchini kote.