29 Dec 2025 7:41 pm | Citizen TV 811 views Duration: 2:22 Wakazi wa Kibiko huko Kajiado Magharibi wanaishi kwa hofu kufuatia ghasia zilizozuka kwenye ardhi inayozozaniwa. Juhudi za kuandaa mkutano eneo hilo zilitibuliwa huku viongozi wa eneo hilo wakitawanywa kwa vitoa machozi.