Skip to main content
Skip to main content

Taharuki Kitui: watu 7 wauawa Tseikuru, nyumba na maduka yachomwa

  • | Citizen TV
    20,249 views
    Duration: 3:23
    Hali ya taharuki ingali imetanda katika kijiji cha kwa kamari huko tseikuru, kaunti ya kitui, kufuatia shambulizi lililotokea jumamosi mchana na kusababisha vifo vya watu saba na wengine kadhaa kujeruhiwa. Maafisa wa polisi wanasema shambulio hilo lilitokea wakati wafugaji kutoka jamii jirani walipovamia kijiji hicho. Maafisa wa polisi wakiongozwa na naibu inspekta jenerali eliud lagat, walizuru eneo hilo kutathmini hali huku msako wa kuwasaka majangili hao ukianza.