- 840 viewsDuration: 1:45Taharuki ilitanda katika kijiji cha Kamonjil baada ya wakazi kujitokeza kwa wingi kupinga jaribio la kumfukuza mama mmoja mzee pamoja na wanaume wengine wanne kutoka kwenye ardhi ya familia. Wakazi hao walitaka mzozo huo utatuliwe kwa njia ya mazungumzo na kwa kuzingatia sheria ili kulinda haki za pande zote zinazohusika.