14 Aug 2026 7:35 pm | Citizen TV 516 views Duration: 1:19 Hali ya taharuki imeshuhudiwa katika eneo la Ngomeni, eneo bunge la Mwingi Kaskazini, huku wakazi wakiwa na wasiwasi kufuatia ongezeko la wafugaji wa ngamia katika eneo hilo.