- 4,376 viewsDuration: 3:19Taharuki imeendelea kutanda katika eneo la mpakani kati ya kaunti za marsabit na wajir kufuatia mgogoro wa umiliki wa ardhi katika eneo la titu. mtu mmoja alipigwa risasi wakati wa maandamano ya kupinga ujenzi wa kambi ya maafisa wa usalama katika ardhi hiyo hadi mzozo huo utatuliwe. wakazi wameghadhabishwa na kukamatwa kwa viongozi wawili wa jamii hiyo waliodaiwa kuhusika na vikundi vya kigaidi. akizungumza kuhusu hali hiyo, serfine achieng’ ouma anaripoti kuwa waziri wa usalama kipchumba murkomen amethibitisha kuwa mazungumzo yanaendelea kati ya viongozi kutoka kaunti zote mbili ili kutafuta suluhu.