Skip to main content
Skip to main content

Taharuki Yatanda Transmara Wakazi Wakipinga Kugawanywa kwa Ilmishuki

  • | Citizen TV
    1,209 views
    Duration: 45s
    Hali ya taharuki imetanda eneo la Metikuar kule Transmara baada ya Wakazi wa tarafa ndogo ya Ilmishuki kupinga mpango wa kugawa tarafa hiyo wakitaka ipandishwe ngazi kuwa tarafa inayojisimamia.