Skip to main content
Skip to main content

Taharuki yawakumba Warundi baada ya agizo la Ruto

  • | Citizen TV
    26,393 views
    Duration: 2:55
    Hayo yakijiri, imebainika kuwa raia wengi wa Burundi huingia nchini kupitia njia za mkato na vichochoro na kuishi nchini bila stakabadhi rasmi. Baadhi ya Warundi tuliozungumza nao wamekiri kuwa wameishi nchini bila vibali vyovyote kwa miaka mingi. Ben Kirui anaeleza sababu za taharruki kubwa miongoni mwa raia wa Burundi wanaoendelea kuondoka nchini kufuatia agizo la Rais William Ruto.