Skip to main content
Skip to main content

Taita Taveta yaanzisha mikakati ya kukuza utalii kupitia vivutio tofauti katika kaunti hiyo

  • | NTV Video
    194 views
    Duration: 2:47
    Taita Taveta inajulikana kuwa kitovu cha utalii nchini Kenya, lakini kuna vivutio vingi ambavyo bado vimefichika na wenyeji hawafaidiki navyo. Mojawapo ni Mlima Kasigau, unaomiliki historia ya Vita vya Kwanza vya Dunia iliyo na uwezo wa kuchochea uchumi Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya