Skip to main content
Skip to main content

Tamasha la 98 la muziki latajwa kuimarisha utekelezaji wa mtaala wa CBE

  • | Citizen TV
    369 views
    Duration: 1:49
    Tamasha la 98 la Muziki nchini Kenya ni nguzo muhimu katika kuimarisha utekelezaji wa Mtaala wa CBE kwa kuwapa wanafunzi nafasi ya kukuza vipaji, ubunifu na ujuzi wa vitendo kupitia sanaa.