- 2,225 viewsDuration: 3:19Tamko la rais Ruto kuwa masomo ya wanafunzi waliofaulu kupata nafasi za kujiunga na Vyuo Vikuu nchini yatafadhiliwa kikamilifu endapo pendekezo hilo litapitishwa na bunge, limeibua hisia mseto. Ombi lake kwa bunge kuharakisha mswada huo, limeibua maswali ya tangazo hilo, kwani mswada huo haupo bungeni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya