- 386 viewsDuration: 4:59Kifua Kikuu ama ukipenda (TB) kimetajwa kuwa miongoni mwa magonjwa matatu makubwa ya kuambukiza duniani ambayo husababisha vifo vingi endapo yatadhibitiwa ipasavyo. Katika Makala ya siha na maumbile wiki hii dkt Henry Musau wa kituo cha Equity Afya Utawala anatufananulia mengine kuhusu TB na jinsi gani mtu anayoweza kujikinga na kupata matibu hadi kupona endapo ataambukizwa.