- 1,938 viewsDuration: 3:27Sintoifahamu imeibuka katika sekta ya elimu kuhusu tetesi kuwa karo ya sekondari ya juu zitapanda mwakani. Licha ya serikali kupinga taarifa hiyo, mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro sasa anasema serikali ina mpango wa kuongeza karo kinyume cha sheria. Kulingana na Nyoro, karo ya mwaka ujao ya shule za upili za siku itaongezwa kwa shilingi 9,374 kwa kila mwanafunzi katika shule za umma