Skip to main content
Skip to main content

Timu saba zafuzu fainali za Chapa Dimba Kakamega

  • | Citizen TV
    252 views
    Duration: 1:08
    Timu saba zaidi kutoka kaunti ya Kakamega zimefuzu kwa fainali za kaunti za mashindano ya kandanda ya Chapa Dimba na Safaricom, baada ya kumalizika kwa fainali za kaunti ndogo katika kaunti ndogo tano.