21 Jul 2026 1:52 pm | Citizen TV 161 views Duration: 57s Timu saba zaidi kutoka kaunti ya Kakamega zimefuzu kwa fainali za kaunti za mashindano ya kandanda ya Chapa dimba na Safaricom, baada ya kumalizika kwa fainali za kaunti ndogo katika kaunti ndogo tano.