Skip to main content
Skip to main content

Timu ya Kenya U20 yarudi nyumbani baada ya mafanikio Oregon

  • | Citizen TV
    318 views
    Duration: 31s
    Timu ya riadha ya Kenya kwa wachezaji walio chini ya miaka 20 imerejea nyumbani baada ya safari ya kuvutia katika Mashindano ya Dunia ya Riadha huko Oregon, Marekani. Kenya ilimaliza ya pili kwa jumla ikiwa na medali nne za dhahabu, tatu za fedha na nne za shaba. Haya ni matokeo bora kuliko katika mashindano ya awali yaliyofanyika Lima, Peru, ambapo Kenya ilimaliza ya tano ikiwa na medali saba — dhahabu tatu, fedha tatu na shaba moja.