Skip to main content
Skip to main content

Timu ya Kenya yajipanga kung'ara katika Michezo ya Jumuiya ya Madola

  • | Citizen TV
    236 views
    Duration: 1:22
    Timu ya Kenya inayoshiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka huu ina matumaini makubwa ya kuonyesha kiwango cha juu cha ushindani kufuatia maandalizi ya kina kabla ya michezo hiyo.