- 205 viewsDuration: 41sTimu ya Kenya ya mchezo wa Tchoukball imewasili nchini Tunisia tayari kwa Mashindano ya Afrika, ambayo pia yatatumika kuwania nafasi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia. Timu hiyo inalenga kufanya vyema katika mashindano hayo ili kujihakikishia tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Dunia.