- 204 viewsDuration: 1:03Timu ya mpira wa kikapu ya viziwi ya Kenya kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 21 imeondoka nchini kuelekea Poland kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya Dunia yatakayofanyika kuanzia tarehe 5 hadi 13 Juni katika mji wa Lublin.