Skip to main content
Skip to main content

Timu ya taifa ya Catchball yadai marupurupu baada ya kutwaa ubingwa Afrika

  • | Citizen TV
    481 views
    Duration: 3:46
    Mabingwa wa bara Afrika katika mchezo wa catchball wanadai marupurupu yao miezi miezi sita baada ya kupeperusha bendera ya taifa nchini afrika kusini. Kulingana na baadhi ya wachezaji na naibu mkufunzi wa timu hiyo silvia akinyi juhudi za kupata marupurupu yao yamegonga mwamba wizara ya michezo ikisema kuwa waliwasilisha fedha hizo kwa shirika la mchezo huo. Francis mtalaki alikutana nao Mombasa.