Skip to main content
Skip to main content

Timu ya wasioona yanoa makali yake wakijiandaa kushiriki katika mashindano ya unyanyua uzani

  • | NTV Video
    235 views
    Duration: 55s
    Nahodha wa timu ya wasioona, Philis Wanjiru, ni mwingi wa imani kwamba Kenya itang'aa katika mashindano ya unyanyua uzani ambayo yatafanyika Uturuki kati ya Oktoba tarehe 28 na Novemba tarehe 7 mwaka huu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya