Skip to main content
Skip to main content

Timu za Kenya za mpira wa kikapu wa viti vya magurudumu zimebanduliwa kwenye mchuano

  • | Citizen TV
    139 views
    Duration: 1:16
    Timu za Kenya za mpira wa kikapu wa viti vya magurudumu zimebanduliwa kwenye mchuano wa Afrika kwa kulazwa na Morocco. Upande wa wanawake walipoteza mechi yao kwa alama 22-14 huku wenzao wa kiume wakilazwa 92-27.