Skip to main content
Skip to main content

Trans Mara: Hali ya taharuki yashuhudiwa katika mpaka wa Kaunti za Kisii na Narok

  • | NTV Video
    364 views
    Duration: 2:27
    Hali ya taharuki inaendelea kushuhudiwa katika mpaka wa Kaunti za Kisii na Narok, huku upande wa Trans Mara, mapigano kati ya jamii hizo mbili yakiingia wiki ya pili. Kufikia sasa, watu kadhaa wamejeruhiwa, huku shughuli za usafiri katika barabara ya Kiango kuelekea Enoosaen zikitatizika licha ya juhudi za kurejesha hali ya utulivu eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya