- 943 viewsDuration: 3:38Familia za wavulana 21 waliopoteza maisha katika janga la moto la Shule ya Hillside huko Nyeri zimeishutumu Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kwa kuchelewesha haki kwa kushindwa kuwasilisha mashahidi muhimu wakati wa kesi mahakamani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya