18 Dec 2025 1:23 pm | Citizen TV 636 views Duration: 1:34 Wakulima wa kijiji cha Kwoyo, eneo la Nyamonye katika Kaunti ya Siaya, wanahangaishwa na tumbili wanaovamia mashamba yao na kuharibu mimea