30 Sep 2026 10:22 am | Citizen TV 406 views Duration: 1:37 Tume ya Uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC imesema itawachukulia hatua kali wanasiasa ambao wanatoa semi za uchochezi katika majukwaa ya kisiasa nchini.