Skip to main content
Skip to main content

Tume ya NLC yaendelea kukusanya maoni kuhusu ardhi za umma na dhuluma za kihistoria kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    466 views
    Duration: 1:41
    Tume ya kitaifa inayosimamia maswala ya ardhi NLC inaendeleza vikao vya kuchukua maoni kutoka kwa wananchi kuhusu sheria inayoangazia umiliki wa aridhi za umma na dhulma za mashamba za kihistoria.