Skip to main content
Skip to main content

Turkana: Kukarabatiwa kwa barabara yaimarisha hali ya usafiri na kuchangia kuinuka kwa uchumi

  • | NTV Video
    354 views
    Duration: 2:07
    Kulingana na wakazi wa Kaunti ya Turkana, kukarabatiwa kwa barabara zinazoingia Turkana kumeimarisha kwa kiwango kikubwa hali ya usafiri na kuchangia kuinuka kwa uchumi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya