- 830 viewsDuration: 2:11Katibu katika wizara ya elimu Lekakeny Ololtuaa asema kuwa wizara hiyo tayari yaanzisha shughuli za kutathmini shule zote za upili nchini ili kuziainisha upya katika makundi ya C1 ambayo ni shule za kitaifa hadi C4 ambayo ni makundi ya shule za ngazi ya wilaya.