Skip to main content
Skip to main content

UASU yaonyakuwa wahadhiri wataendelea na mgomo

  • | Citizen TV
    225 views
    Duration: 2:06
    Katibu Mkuu wa Chama cha wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) Dkt. Constatine Wasonga aonya kuwa wahadhiri wataendelea na mgomo uliopangwa mwezi ujao iwapo serikali haitatia saini mkataba wa maelewano wa mwaka wa 2025