Skip to main content
Skip to main content

UASU yapinga pendekezo la kushusha umri wa kustaafu kwa wahadhiri

  • | Citizen TV
    742 views
    Duration: 2:32
    Chama cha wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo vikuu kimepinga vikali pendelezo la tume ya huduma za umma kuwa wahadhiri wansathili kustaafu wakiwa na umri wa miaka 70. kulingana na viongozi wa UASU pendekezo hilo ni jipya kwao na hawajahusishwa katika mabadiliko yaliopendekezwa.