Skip to main content
Skip to main content

Ubalozi wa Marekani watetea hatua ya kujenga kituyo cha karantini Laikipia

  • | Citizen TV
    2,274 views
    Duration: 3:23
    Hakuna hofu ya kituo cha karantini cha Laikipia kusababisha mlipuko wa Ebola nchini Kenya. Haya ni kwa mujibu wa Médecins Sans Frontières (MSF), ambao wamewataka Wakenya kutokuwa na wasiwasi. Madaktari hao wanasema kuwa Kenya haijashuhudia maambukizi ya Ebola licha ya ukanda wa Afrika Mashariki kuathirika. Aidha, ubalozi wa United States nchini umetetea kituo hicho cha karantini na kutoa hakikisho kuwa ni salama kwa wakazi wa Laikipia.