- 845 viewsDuration: 3:08Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo na Biashara ya Nairobi yalionyesha ubunifu unaolenga kutatua baadhi ya changamoto zinazokabili sekta ya kilimo. Mwanahabari wetu Denis Otieno amekusanya baadhi ya teknolojia zilizovutia katika maonyesho hayo, kwenye makala ya leo ya Kilimo Biashara.