Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mdogo wa mbunge Emurua Dikirr waendelea

  • | Citizen TV
    14,778 views
    Duration: 4:49
    Uchaguzi mdogo wa eneobunge la Emurua Dikirr kaunti ya Narok unaendelea vyema katika wadi nne za mogondo, Kapsasian, Ilkerin na Ololmasani. Hata hivyo, ajenti mkuu wa chama cha DCP Cheruiyot Leonard anadai kuwa baadhi ya maajenti wa chama hicho wameondolewa kwenye vituo vya kupigia kura. Wawaniaji watano wanamenyana kumrithi aliyekuwa mbunge wa eneo hilo marehemu Johana Ng'eno.