- 1,114 viewsDuration: 1:08Uchaguzi mdogo wa Ol Kalou Constituency unawalenga wapigakura 73,480 waliosajiliwa kushiriki katika zoezi hilo.Wapigakura hao wanatarajiwa kupiga kura katika vituo vilivyoteuliwa na tume ya IEBC ili kumchagua mbunge mpya wa eneo hilo.