- 15,090 viewsDuration: 13:40Uchaguzi mdogo wa eneobunge la Emurua Dikirr kaunti ya Narok waendelea vyema katika wadi nne za Mogondo, Kapsasian, Ilkerin na Ololmasani. Kulingana na IEBC, wapigakura 44,353 wasajiliwa katika eneobunge hilo. wawaniaji watano wamenyana kumrithi aliyekuwa mbunge wa eneo hilo marehemu Johana Ng'eno