Skip to main content
Skip to main content

Uchambuzi wa CCTV wamtaja Mukwana katika kesi ya mauaji ya Ojwang

  • | Citizen TV
    8,749 views
    Duration: 1:11
    Kesi ya mauaji ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang imeendelea leo katika mahakama ya Kibra huku mahakama ikieelezwa kuwa uchambuzi wa picha za CCTV unamweka afisa wa polisi James Mukwana pamoja na wanaume wengine wanne katika eneo la tukio, siku aliyouawa.