- 163 viewsDuration: 1:42Uchumi wa kidijitali umethibitishwa kuwa sehemu inayofaa ya uwekezaji. Wakati wa hafla ya kando katika Mkutano wa Africa Forward unaofanyika hapa Nairobi, Waziri wa ICT William Kabogo alisema kuwa uwekezaji huu utaibua suluhu kubwa kwa matatizo mengi katika bara la Afrika.