Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi: Kennedy Ng'eno alifariki baada ya kudungwa mara kadhaa

  • | Citizen TV
    5,063 views
    Duration: 2:51
    Uchunguzi wa maiti ya mwanamume aliyedungwa kisu na dereva wa teksi barabarani umeonyesha kuwa alifariki kwa kudungwa kisu mara kadhaa. Uchunguzi huu ukifanyika huku kanda za CCTV sasa zikionyesha namna mshukiwa mkuu, ambaye sasa amekamatwa, alivyomdunga kisu marehemu Kennedy Ng'eno na rafiki yake mara kadhaa muda mfupi baada ya magari yao kuhusika katika ajali usiku wa Jumamosi hapa Nairobi. Ode Francis na mtiririko wa matukio kwenye kanda hiyo.