- 1,812 viewsDuration: 2:19Idara ya polisi sasa inasema inatumia teknolojia za kisasa kukamilisha uchunguzi wa kifo cha mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo. Naibu Inspekta wa Polisi Gilbert Masengeli ametoa hakikisho hili huku wanasiasa waliozungumza kwenye ibada yake ya wafu huko Kitale wakitaka uchunguzi zaidi kufanywa. Mwili wa marehemu Jirongo umesafirishwa hadi nyumbani kwao Lumakanda ambako atazikwa hapo kesho.