Skip to main content
Skip to main content

UDA-ODM wazungumza kumaliza mvutano wa kisiasa

  • | Citizen TV
    4,626 views
    Duration: 2:23
    Wiki moja baada ya kamati kuu ya chama cha odm kuzua tetesi kuhusu matamshi ya baadhi ya viongozi wa uda kwamba yanaenda kinyume na matarajio ya ushirikiano wao. Rais william ruto ameingilia kati kuokoa uhusiano huo ambao umeonekana kuingia doa. Katika mkutano wa maridhiano uliofanyika katika ikulu ya nairobi, viongozi wakuu wa vyama hivyo walikubaliana kuhusu jinsi ya kuimarisha uhusiano wao.